About us/ kuhusu sisi

Blog hii ina lengo lakutoa elimu na taarifa juu ya mambo mbalimbali hasa katika elimu , sayansi na tekinolojia, mojawapo ya kazi tulioanza nazo ni kazi ya hiari ya kukufikishia somo la fizikia kwa lugha ya kiswahili. Kadri muda utavyoenda na kwa kadri mambo yatavyoongezeka tutajitahidi kwenda na wakati na hali halisi ya wakati huo, sehemu kubwa ya kazi ya fizikia imetokana na tafsiri ya physics kutoka wikipedia, kamusi elezo huru, ilyofanywa na waandishi wa kujitolea kutoka katika kampuni ya Magorwa company Limited ya Mkoani Kigoma ,mfano Almasi Magorwa, ambaye ni mhitimu wa shahada ya sayansi ya fizikia kutoka chuo kikuu cha Dodoma nchini Tanzania. Upungufu wowote utaouna toa maoni na yatafanyiwa kazi.

No comments:

Post a Comment